TEHRAN (IQNA)- Sambamba na siku za Arubaini ya Imam Hussein AS, wasomaji Qur’ani Tukufu katika ngazi ya kimataifa wameshiriki katika vikao vya kusoma Qur’ani ambavyo vimeandaliwa na Shirika la Habari la IQNA chini ya kaulimbiu ya ‘Ya Hussein katika Mazingira ya Qur’ani’.
Habari ID: 3474357 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/29